Aliye niumba yuko nami sikuzote naamini' napo pata matizo navumilia tuu!
Yanapo nizidi Uwezo namuachia wajuu Mungu ndie Mpaji na ndie Muweza pekee
vyovyote niko radhi ili Mola anipokee... Nakuomba unipe nguvu nishindane na
Dunia nizishinde Tamaa zinazo nikaribia naamini kwa IMANI, tumaini langu ni
wewe, uliye nipa thamani kuwa juu zaidi ya Mwewe, juu ya Wafalme Wanao abudia
mali juu ya viongozi ambao hawa tujali... naleo niko tayari kuli taja jinalako
sina hiyari kutangaza sifa zako, kwenye maajabu na miujiza kwenye mwanga hata
giza, muweza wa yote

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni