Welcome to the Tanzania Artist and Art Gallery Directory. The best place to find talented Tanzanian Artists and Art Galleries in Tanzania .
Lulu akilia juu ya kaburi la Kanumba Kanumba.
Lulu
Irene Uwoya
Lulu na mama yake
RIP Bongo artist Sharo Millionea
This is very sad news to hear. Famous Tanzanian comedian and bongo flava artist Sharo Millionea passed away Monday, November 26th after being thrown out of his car in a violent car crash that ended with the vehicle colliding into a tree and him being thrown out of the car. Sharo, who was born, Hussein Ramadhani Mkiety was on his way to Tanga to visit his parents from Dar Es Salaam.
Sharo acted in a few movies and was featured in a few Airtel commericals. Hussein would later venture into music after acting and doing comedy for a while. One of his hits were, ‘Sharo Hawataki’ feat. (Richard Mavoko N Kanal Top)’Chuki Bure’ featuring Dully Sykes, ‘Changanya Changanya’ featuring Ali Kiba.
Hussein will be buried in Tanga. May his soul rest in peace.
Here are some of his songs:
‘Chuki Bure’ featuring Dully Sykes.
Nikki Mbishi
Nikki Mbishi- Incredibly Talented Tanzanian Hip Hop Artist
Nikki’s music is pure unadulterated hip hop. Nikki, who’s birth name is John Marwa Machuche, was born on March 4, 1989 in Dar Es Salaam, Tanzania. He grew upRais wa Masharo
CHID BENZ " AMFANYIA KITU MBAYA COW BOY " NGWAIR
Mkali wa vina na mashairi kutoka pande za Ilala anayefahamika kwa jina maarufu la 'Chid Benz' ameanza kupata sifa mbaya baada ya kumpiga mwanamuziki mwenzake 'Ngwea' nje ya ukumbi wa Ambassador Lounge ulioko kwenye jengo la Benjamini Mkapa tower Posta usiku wa kuamkia Machi 22.
Kupigwa kwa 'Ngwea' kulikuja baada ya 'Chid' kumzingua 'Dully' alipokua akiingia ambapo mwisho wake aliamua kuondoka.
Alipoondoka 'Dully', 'Ngwea' akamuuliza inakuaje unamzingua kubwa lao, ndipo 'Chid' alipopaniki na kuanza kutoa lugha chafu huku akitaka kutokumsikiliza 'Ngwea', inasemekana 'Ngwea' aliamua kukaa kimya lakini 'Chid' aliendelea kungea kwa hasira na kusema "ndio nimemzingua kwani yeye nani" na kumbadilikia 'Ngwea'.
'Ngwea' aliamua kuondoka kwenye ukumbi huo lakini alipofika chini ya ghorofa ndipo 'Chid' alipomfuata na kuanza kumshambulia mwanamuziki mwenzake huyo na baadaye kumjeruhi kwa chupa mkononi.
Lakini baada ya hapo 'Ngwea' aliweza kufika hospitali na kuweza kupatiwa matibabu ya jeraha hilo la chupa.
RETWEETS ZA NGWEA.
NEY WA MITEGO AMNYESHEA MVUA YA MATUSI KWA NIKKI MBISHI
New Audio Song | Peter Msechu ft. Joh Makini - Kumbe
waweza kuupata hapa
Alianza na Badaesana ilio badilisha sehemu kubwa ya maisha yake japo sio kivile' ila ilikuwa kama motisha kwake na kuachia ngoma iliyo fata akaipa jina la Sirudi tena...... muite Mabeste ambaye kwasasa anafanya vizuri sana kwenye track yake impya inayokwenda kwa jina la DOLE...KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YETU!
OffSide Trick "NIPE NIKUPE" Coming Soon

GOLDIE SOON ANATARAJIA KUFANYA COLLABO NA AY
Baada ya mshiriki huyu wa Big Brother star game kuja pande za 254 nchini kenya kimya kimya na kufanya collabo na msanii anayejulikana kwa jina la Navio.Sasa habari ni kwamba Goldie anatarajia pia kutua hapa bongo kuja kufanya collabo na Ambwene Yesaya a.k.a AY katika studio ya MJ record.Tunatarajia muonekano mpya wa nyimbo hiyo mpya ambayo itafanywa na Goldie pamoja na Ambwene Yesaya a.k.a AY.
Diamond Platinum akiwa na judges katika music video audition ya kumtafuta model ambaye ataweza kufanya video mpya ya Diamond Platinum.Zoezi ili lilifanyika katika maeneo ya Nyumbani lounge Jijini Dar es Salaam.
Diamond hapo akielezea sababu na dhumuni zilizomfanya mpaka afanye hivyo huyu hapa anafunguka kwa dzain hii "kusema kweli nimeona umuhimu kwasababu unakuta pale msanii anapoamua labda kufanya video mpaka aanze kutafuta watu lakini mimi nikaona kwanini ni si ajili watu wa kunifanyia video zangu kama models na ndiyo maana leo hii ni siku maalum ya kumtafuta yule ambaye ataweza kufanya video mpya ya kwangu na pia kumuajili katika kazi zangu za muziki kwa hiyo pale ninapoamua kufanya video ninakuwa ninajua kabisa nina watu kadhaa wa kufanya nao video".Hayo ndiyo maneno ya Diamond wa wasafi akielezea sababu na dhumuni la kufanya Music Video Audition leo maeneo ya Nyumbani lounge jijini Dar es Salaam.
Niki wa pili hot raper kutoka Weusi anaefanya vizuri zaidi na track yake mpya Njeya Box
Bidada Jackline Wolper' anaefanya vizuri hasa katika Bongo Movie.. kip it Up


.jpg)
















+lindaikejiblog.jpg)




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni