Habari Zetu Tz
Kila kilicho moto, tunakuletea kwa wakati. ðĨ
Alhamisi, 2 Januari 2014
HAKIKA HUYU NDO MSANII WA HIP-HOP ALIYEFUNIKA KATIKA SHOW KWA MWAKA 2013
Top Talent
Anajulikana kwa jina la JOH MAKINI msanii wa Hip Hop anayewakilisha mko wa ARUSHA Tanzania, kwa mwaka huu 2013 nilibahatika kuwazunguka nae kuwa kama dj wake katika show zake alizokuwa akipiga karibia Tanzania nzima. Nadiriki kusema kwa mwaka huu Joh Makini ndio msanii wa Hip Hop aliyepiga show nyingi kuliko msanii mwingine na kama yupo basi naomba niambiwe ili niweke kumbukumbu vizuri. Kwa mimi tu kama DJ CHOKA show nilizofanya naye dj ni show 24 kwa mwaka huu na show ya mwisho ilikuwa Xmas pale Dar Live sasa kuna show nyingine alizoenda kama yeye mwenyewe ukijumlisha na matamasha mengine makubwa so inaweza kufika show 50 nakuendelea. Nanukuu ujumbe wake huu aliouandika kwenye account yake ya Facebook
“Muziki wangu na kila nilichokifanya kimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu na sapoti yenu teamweusi watu wa muziki mzuri asanteni sana bila nyinyi hakuna mimi nawatakia heri ya mwaka mpya wenye amani na mafanikio
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Layout
Mtua Studio- Photo Shoot
Top Talent
Nash mc mkali!..usipagawe usichachawe yote kapanga manani!
Top Talent
60 - Mic nadaka - Snoop Lee Feat Mr Blue [BongoUnlock]
Top Talent
DOGO S KIDE DIAMOND KABLA HAJATOKA
Top Talent
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni