Manager wa Top Talent akiwa mjini Morogoro kwaajili ya Show kubwa inayo tarajiwa kufanyika uwanja wa Jamuhuri
siku ya kesho..... ambapo kutakuwa hapatoshi ndani yake uta mapata msanii Young Killer kutakuwa na mtumzima Godzilla Darasa Afande Sere Mkongwe mwenyewe
na wengine wengi wanao jiweza kama uko mbali fanya tujivute pande zile...... waweza ambatana na baadhi ya wadau kutoka
Mtua Records kuelekea Moro siku ya tarehe Moja..... sio ya kusimuliwa RIP BROTHER HOOD ALBEIT

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni