Ni Miaka 9 imepita tangu Icon wa Filamu Tanzania na Barani Afrika 'STEVEN KANUMBA' alivyotutoka , April 7 2012 .
Tutaendelea kumkumbuka Daima kutokana na Mchango wake mkubwa katika kuijenga Tasnia ya Filamu Tanzania .
Je, ni Filamu gani ambayo unaipenda zaidi kutoka kwa Steven Kanumba ?

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni