Jumamosi, 11 Aprili 2020

Mimi ndiye nilie anza kumtumia Hamisa Mobetto. ALIKIBA

Top Talent
The King himself @officialalikiba amewajibu mashabiki waliohoji kwanini ameamua kumtumia mrembo @hamissamobetto kwenye video ya wimbo wake mpya 'DODO'

Kupitia Insta LIVE ambayo King Kiba aliifanya usiku wa kuamkia leo kupitia IG page yake, Kiba alitoboa siri kuwa miaka 10 iliyopita alimtumia Hamissa Mobetto kwenye video ya wimbo wa mdogo wake @OfficialAbduKiba 'Hatuna Habari Nao' kipindi ambacho hakuna aliyemjua mrembo huyo.




Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent