Jumatano, 8 Aprili 2020

DODO ALIKIBA Mp3

Top Talent
Jana kupitia Instagram live -
alitoa siri kwamba yeye ndio mtu wa kwanza kumtambulisha Hamisa Mobetto kwenye game, alimtafuta na kumtumia kwenye video ya wimbo wa #HatunaHabariNao wa AbduKiba. Miaka 10 baadae, Alikiba anamtumia Hamisa kwenye video ya #DoDo


Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent