Jumapili, 1 Desemba 2019

Kufuru ya Alikiba Tabora “Alienitoa kwenye muziki anatoka Tabora” (+video)

Top Talent

blessings king #africa
Heri ya siku yako ya kuzaliwa mfalme wa bongoflever @officialalikiba mungu akuzidishie riziki na uendelee kugawana kama tunavyogawana huko Tabora kwenye 


King Alikiba amewasili Tabora na kupokelewa na love ya kutosha kutoka kwa wakazi wa Mkoa huo ambapo tour yake ya UNFORGETTABLE inaanzaia hapo siku Jumamosi ambayo itaambatana na miaka 17 kwenye game ya bongo flava pia kumbukizi yake ya kuzaliwa Novemba 29.


Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent