Jumapili, 17 Februari 2019

Mama Diamond Atoa Sababu ya Mtoto Wake kushindwa Kufika Msibani

Top Talent
Mama Diamond Atoa Sababu ya Mtoto Wake kushindwa Kufika Msibani

Mama mzazi wa msanii Diamond Platinumz amefunguka na kutoa sababu kubwa ya mtoto wake huyo kuacha kwenda katika mazishi ya msanii Godzilla na usema kuwa  so lazima yeye aende kwa sababu yeye na dada yake walikuwepo hakukuwa na shida.
Lakini pia mama huyo alisema kuwa sababu kubwa iliyofanya hivyo ni kwa sababu amekuwa akiona misiba mingi ambayo msanii huyo amekuwa akienda , amekuwa akiwateka mashabiki na kujikutwa wakijitoa kaktaika msiba na kuanza kumshangaa Diamond platinumz.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent