Top Talent
Kampuni inayotoa huduma ya mabasi yaendayo haraka (UDART) imesitisha usafirishaji wa abiria kwa baadhi ya njia kuanzia leo April 15 saa 11 alfajiri kufuatia kufungwa kwa barabara ya Morogoro eneo la Jangwani kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha Dar

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni