Top Talent
#HABARI Watu saba wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amethibitisha, na kueleza kwamba mwili mmoja umekutwa ukielea kuelekea Jangwani.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni