Jumapili, 2 Juni 2013

MWILI WA ALBERT MANGWAIR KUTOWASILI NCHINI LEO

Top Talent
Albert Mangwair enzi za uhai wake.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kamati ya msiba tunaomba kutoa ya taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha hautoweza kufika siku ya Jumapili ya tarehe 2/06/2013 kama ilivyo taarifiwa hapo awali, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu/wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi.
Tunaomba radhi Watanzania wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane na uvumilivu kwa hili.

Asante
Mwenyekiti wa Kamati
Kenneth Mangweha

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent