Picha ya juu Kaka wa marehemu Albrt Mangwer, Kenneth Mangwer {Kushoto} akishuhudia tukio la kukabidhi t-shirt kwaajili ya vazi rasmi kipindi hiki cha msiba wa marehemu Albert Mangwer ambapo Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Miraji kikwete alizitoa kwaajili ya maandalizi ya msiba huo' Picha ya chini Miraji Kikwete akikabidhi T-shirt kwa msanii TID pamoja na mmiliki wa Bongo Record Producer P-Funk.zoezi hilo lilifanyika katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar-es-salaam

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni