Katika kuonyesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inakuwa na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi wa kikazi, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini H. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kiutofauti kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na chata zake, pipi zinazojulikana kwa jina la 'H. BABA & FLORA MAPENZI KWA WATOTO'

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni