Jumamosi, 16 Machi 2013

Top Talent






Rapper kutoka Tanzania King Zillah ambae yupo vizuri kwenye freestyle na kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa style yake ya kuchana kama 50, Pia ameweza kufananishwa na Rapper huyo wa kundi la G-Unit 50 Cent kwa muonekano wa sura zao na baadhi ya swagga. Mengi kuhusu King Zillah endelea kutembelea Blog yetu.
Top Talent




Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent