Fid -Q akiwa kwenye mizunguko yake Nchini Marekani,
Msaniii mashuhuri wa Mziki wa bongo fleva nchini Fid-Q Jamaa akiwa kwenye mizunguko yake nchini marekani... angalau kwasasa wasanii wa Tanzaniaiwameanza kufaidika na kazi zao... ziara ya fid q ilionekana kuwa na mafanikio na kukutana na wasanii tofaut tofaut akiwemo mtumzima Fat Joe' kwahabari zaid endelea kutembelea blog yetu.... Top Talent dio habari ya mjini
Layout
Top Talent
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni