Alhamisi, 28 Machi 2013

FILAMU YA MWISHO YA MAREHEMU KANUMBA AKIWA NA SHARO MILIONEA LOVE & POWER IPO TAYARI!.
Top Talent

Marehemu Kanumba akiwa katika pozi akivuta Siga.
Filamu hiyo pia ina historia ya kipekee kwani moja kati ya filamu iliyobeba wahusika wakubwa ambao ni marafiki wa marehemu Kanumba huku Daktari wa familia ya marehemu naye akiwa ameshiriki vema katika filamu hiyo.
Pengine ni filamu inayoweza kuibua hisia za watu wengi kufuatia filamu hiyo kuigizwa na wasanii watatu ambao kwa sasa ni marehemu, wasanii hao ni pamoja marehemu John Stephano, Hussein Mkiety ‘Sharomilionea’, lakini pia kuna msanii mwinge Irene Paul ambaye aliigiza kama mhusika mkuu, marehemu Kanumba alifariki mwaka jana mwezi wanne.
Msanii huyo anakumbukwa na wapenzi wa filamu kwa umahiri wake wa kuigiza na kuwa ni msanii pekee aliyeweza kuitangaza Tanzania kwa njia ya filamu na kuwa mmoja kati ya watu mashuhuri, filamu ya Love & power itasambazwa na Steps Entertainment ya jijini

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent