Jumatatu, 10 Agosti 2020

Hapa sina cha kusema kwakweli , leo nimekutana na msanii ninaemkubali Ali salehe kiba mwana dar es salaam katinga leo mtwara gas city.

Top Talent

Hapa sina cha kusema kwakweli , leo nimekutana na msanii ninaemkubali Ali salehe kiba mwana dar es salaam katinga leo mtwara gas city. kesho ijumaa anakinukisha kwenye uwanja wa nangwanda sijaona hivyo shoo hii si ya kukosa njooni tuicheze Cinderella mpaka so hot, sema yebabaaaaa .




Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent