Boss wa Rockstar Africa, @sevenmosha amesema kile kinachoitwa kutokuelewana kwa #Alikiba na #Diamond, ni kizuri kwa upande wa kibiashara.
Seven amefunguka hayo jana kwenye Show ya SalamaNa inayoruka EATV ambapo amesema kwa mawazo yake biashara ni nzuri zaidi kuliko kupatana.
-
“AliKiba na Diamond ni watu tofauti, Ali anapenda private life. Nikiongea kwa mawazo yangu sio yake nikiangalia kibiashara ushindani ni biashara kuliko kupatana.” amesema Seven.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni