Meneja aliyewahi kufanya kazi na Dogo Janja, Suma Mnazareti, Sharomilionea, Kitale, PNC pamoja na wasanii wengine amefunguka kuzungumzia hela ambayo aliwekeza kwenye muziki pamoja na fitina ambazo amewahi kufanyiwa.