Hebu watuambie kuhusu hawa kina @officialcheed @officialkilly_tz @officialk_2ga
Wana vipaji au hakuna kitu, kama wako na vipaji nyimbo zipo wapi kama nyimbo zipo mbona hazitoki au nyimbo Sio nzuri??? Sisi mashabiki tunaweza kumkatia Tamaa Boss wao Alikiba ila katu hatuwezi kuwakatia Tamaa Vijana wenzetu hawa.
Tunawaonea hadi huruma maana wanaogopa hadi kupost Picha Mwenye mitandao yao ya kijamii
@kingsmusicrecords leteni Kazi za vijana wenzetu. Huyo Alikiba hata asipotoa wimbo hatuna kiu na nyimbo zake maana anatoa Kazi mpaka anapojisikia kutoa ila hao vijana Bado hawajapata hata ðĩ Kupitia mziki wao.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni