Jumamosi, 14 Septemba 2019

Msimu Mpya wa Tigo Fiesta 2019 ulivyozinduliwa rasmi jijini Dar

Top Talent

Msimu Mpya wa Tigo Fiesta 2019 ulivyozinduliwa rasmi jijini Dar

Share This 
topads2

Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa. Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 mkutano huo ulifanyika katika ofisi za Clouds Media Group. 
tf-5
Meneja Mawasiliano wa wa Tigo Woinde shisael akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kamati ya Fiesta Sebastian Maganga katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema jana katika ofisi za Clouds Media Group.
tf-1
Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 likiwa na maandalizi lukuki ikiwemo burudani na promosheni kabambetf-2
Wafanyakazi wa Tigo na Clouds media Group wakifurahia mara baada ya uzinduzi wa Chapa ya Uzinduzi msimu mpya tamasha la Muziki la Tigo Fiesta 2019 likiwa na maandalizi lukuki ikiwemo burudani na promosheni kabambetf-4

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent