BREAKING & EXCLUSIVE NEWS!!!! Kuelekea kwenye show yangu kubwa ya mwaka #FungaMwakaNaKingKiba tarehe 29 December pale @nextdoor_arena - nitaachia “HITS” zangu mbili kabla mwaka haujaisha pamoja na kuizindua rasmi kinywaji changu cha #MofayaEnergyDrink
:
Sema kuna mabadiliko ya tarehe ya show yangu na Mama Yvonne Chaka Chaka pamoja na King Of Best Melodies @bellachristian - kutoka December to February 2019, the month of Love ❤ :
Lakini sasa ...siku hiyo ya tarehe 22 December 2018 si ndio FIESTA finale , so I’ll be performing katika Finale ya Msimu wa come back ya Fiesta na wanangu kutoka @kingsmusicrecords :
Na kumalizia mwaka basi tukutane Mombasa on New Year Eve tarehe 31 December —cheers to the New Year Mombasani ð°ðŠ!
#FungaMwakaNaKingKiba
#MofayaByAlikiba
#KingKiba

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni