Alhamisi, 8 Novemba 2018

wasafi wanaweza hata wakaipromote bure ili mradi wapatane na Kiba.They just want to use him kudhoofisha media zingine ndo maana wanavumilia dharau zake.

Top Talent

mangekimambi_

Sasa kama Dai kweli aliimaamisha kuelewana na Kiba akubali kudhiminiwa na Mofaya, aipromote kweli. Kiba flipped the script diplomatically, He was like, Say what? You want to pay me to perform for you? No bitch, I will pay you to promote my drink ðŸĪĢðŸĪĢ. .
.
.
Jamani hii wiki nna mood ya ushariðŸĪĢ
.
.
.
Update
Mnaosema nawachonganisha mkajambe mbele bwan. Nimestate facts. Uzuri ni kwamba nikiongeaga kitu huwa mnanishambulia alafu kikitoea mnarudi kushoboka oooh dada wa Taifa ulisema. Nishawazoea😏. Kama nilivyosema juzi Dai atabend over backwards kupatana na Kiba.Mpaka dakika hii ni upande gani wanaoshoboka na hilo dili? kuposti sijui wameongea na 7. Hivi wale kina Salaam wanavyojiskia na dharau zote walizomfanyia Kiba leo wanamshobokea? They know what they are doing. Kiba alivyowajibu dharau juzi kweli Dai mnaemjua nyinyi ni mtu ambae angekubali mtu amfanyie dharau zile alafu still akubali kuwork nae? It’s not even 24 hours since Kiba kawajibu shit na Dai amesamehe.Dai na watu wake wameamua kujifanya wajinga mpaka wapate wanachokitaka. Watamwacha Kiba ajione ana run this show wao wadharaulike.Kina Salaam wakifanikiwa kumaliza bifu la Dai na Kiba na kumuondoa Kiba kama hasidi wa Diamond. Kiba is done.Tukubali tukatae bifu linampandisha Kiba na linamuumiza Diamond. Linampa Dai unnecessary competition. Sasa ongeza na issue ya wasafi media. Kiba anawapa nguvu na silaha other media houses against Wasafi kwa kufanya kazi na hizo media zingine na kuwagomea Wasafi na hizo media houses zingine kama hamjanoti wanatumia hili bifu kupata kiki ndo maana unaona hawapigi nyimbo za Dai wanapiga za Kiba tu na sometimes wana over Do kumpromote Kiba ili kuwashusha wasafi.Na mtanzania anaempenda Kiba inabidi afungue hizo redio au tv zingine kumsikia Kiba au kumuona.Wasafi wanataka kuondoa hiki kitu kwa kumvuta Kiba Kwao.Jaribuni kuimagine leo Kiba awe anazindua nyimbo zake wasafi. Interview zake wasafi,hizo media zingine si zitabaki na kajamba nani na kiki la bifu lao walilokuwa wanalitumia Kwishney.Hiyo Mofaya wasafi wanaweza hata wakaipromote bure ili mradi wapatane na Kiba.They just want to use him kudhoofisha media zingine ndo maana wanavumilia dharau zake.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent