Alhamisi, 21 Juni 2018

JAMANI JAMANI JAMANI LISAMBELA SIO NGOMA YA ALIKIBA, NI YA 2GA K HUYUAPA NA NYIMBO IKO HAPA.

Top Talent

Tofauti na wengi wanavyo jua yakua Lisambela ni nyimbo ya King kiba..... hata mitandao mingi blog nying wame ipost nyimbo na kuandika kuwa ni yaalikiba.... sio kweli hii nyimbo ni ya 2ga K msanii ambae yupo chin ya management ya Alikiba.


Inauma sana na ina sikitisha kuonga Nguvu kubwa aliyo itumia 2ga K kutoa kibao kikali waandish wa habar wanakuja kupindisha hali jinsi ilivyo..... Mtua Records ime ongea na watu wawili wa tatu wa lio karibu na 2ga K na kugundua hawafurahishi na jambo hili hata kidogo..... ngoma nikali tena ana..... kwann isambazwe kwa jina la Alikiba na muhusika wa nyimbo yupo... Media ziweke wazi juu ya hili.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent