Alhamisi, 17 Mei 2018

“Wafungwa waliopewa cheo cha unyampala ndio wanaoweza kupata chakula cha kutosheleza matumbo yao, wengine huishia kula kwa kunyang’anyana na mwenye nguvu ndiye anayekula. SUGU

Top Talent
“Wafungwa waliopewa cheo cha unyampala ndio wanaoweza kupata chakula cha kutosheleza matumbo yao, wengine huishia kula kwa kunyang’anyana na mwenye nguvu ndiye anayekula, kwa kifupi mle ndani utemi tu bila utemi mzee hupati chakula,”-Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu"

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent