Ijumaa, 18 Mei 2018

Top Talent


  • Nina furaha sana kuwa sehemu ya @afr_reconnect - kongamano lenye lengo la kuunganisha na kuwainua wanawake barani Africa. Shukrani za pekee kwa Nomdeni ambaye alianzisha @afr_reconnect na kuchagua kuileta hapa Tanzania mwaka huu.

    Asante sana kwa Mama Yvonne Chaka Chaka kwa kushiriki kwenye tukio hili la kihistoria na Mama zetu wa Tanzania, Asante kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. @UmmyMwalimu , Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zanzibar Mh. Amina Salum Ally, Mama yetu Balozi Getrude Mongella ambaye siku zote amekuwa mstari mbele kupigania usawa na haki za wanawake duniani kote pamoja na wageni wengine wote walioshiriki katika tukio la African Conncet lililofanyika Dar es Salaam. “Akili Ya Mama” ni wimbo ambao nimeshirikiana na Mama Yangu Yvonne Chaka Chaka, ni wimbo ambao unawatukuza Mama zetu wa kiafrica na nina matumaini ya kujihusisha na @afr_reconnect kwa miaka mingi ijayo.
    #MofayaByAlikiba
    I am delighted to be part of @afri_connect, an initiative that seeks to connect and empower Women across Africa . Special appreciation to Nomdeni who founded Africa Connect and chose to host it in Tanzania this year. 
    Thank you to Mama Yvonne Chaka Chaka for championing our Tanzanian women and to our Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children Hon @Ummy Mwalimu , Zanzibar Minister Of Industry, Trade and Marketing Hon Amina Salum Ally, and to our Mama, Ambassador Getrude Mongella who has always been a passionate advocate for women’s dignity and aspirations worldwide and to the esteemed guests who joined us at the Africa Connect event in Dar Es Salaam. “Akili Ya Mama” is a song I collaborated with Mama Yvonne Chaka Chaka to take a stand and support our African Women and I hope to stay involved in the @afri_connect initiative and others for years to come.
    #KingKiba
  • side_ballo_classic_tanzanian👍👍👍

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent