Jumanne, 15 Mei 2018

Kwangwaru nayo nyimbo au MATUSI ,timu kiba timu ya maadIli kama huna maadali huwezi kuwa timu kiba matusi kwetu MWIKO

Top Talent

Siku chache zilizo pita @officialalikiba tumemkabidhi Plaque yake (tuzo maalum) Bongo Fleva #NyotaWaMchezo kama #BestInternationalAct #BestMaleAct#MostInfluencialAct kwa mchango wake kwenye muziki na jitihadi alizipiga kupeperusha bendera ya TZ, Kuvutia wengi zaidi (inspire) na kuwepo mpaka leo toka zamani kwenye game. Kiba amekua msanii mwenye nguvu katika Muziki na kwa kufanya kazi nzuri @timesfmtz The Playlist imeona kumpongeza kwa tuzo hii maalum #Plaque na kumtaja kuwa #NyotaWaMchezo #SonyMusic #RockStar#MoFaya

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent