Jumanne, 17 Aprili 2018

Shiloleh Akanusha Kuvujisha Video ya Nandy na Bilnass.

Top Talent


Mwanamuziki shiloleh amefunguka na kukanusha taarifa za kuwa yeye ndie aliweka picha na video ya nandy na bilnass aktika mitandao ya kijamii na kusema kuwa post aliyokuwa ameiweka katika mitandao ya kijamii ilikuwa ni  ya mzaha na utani tu.


Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo, Shiloleh anasema kuwa inawezekana kuna mtu anaweza kuwa ndie aliyevujisha video hiyo lakini alipoona Shiloleh amesema imekuwa ni kama mamepata kisngizio kuwa ndie aliye fanya hivyo.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent