Jumanne, 24 Aprili 2018
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya Uwanja wa Ndege Dar, Ndege kubwa ya ‘gorofa’ A380 ya Fly Emirates imetua leo,
Top Talent
Kwa mara ya kwanza ktk historia ya Uwanja wa Ndege Dar, Ndege kubwa ya ‘gorofa’ A380 ya Fly Emirates imetua leo, Wafanyakazi Airport wanasema ilikua inaelekea Mauritius lakini imeshindwa kuelekea huko sababu ya hali mbaya ya hewa hivyo imetua Dar kwa muda. #MtuaUPDATES
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni