- Daima chagua mwanaume bora kwa kutizama utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi, tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako . . ❤🧔🏻Mwanaume anayekufaa ni yule anayekujali na kukuheshimu, mwanaume bora ni yule anayekupa leo mawazo ya kesho, mwanaume anayekufaa ni yule anayekufuta machozi na asiyekuliza kila siku, na aonapo chozi lako basi huwa anaumiaa sana . . 😣🧑🏽 tafuta mwanaume ambaye ni kichwa ili wewe uwe shingo sababu hakuna kichwa pasipo shingo . . 👴🏽Tengeneza mwanaume wako bora, anza naye kwenye maisha ya chini mkipeana faraja na matumaini ya kutengeneza ndoa bora na yenye mafanikio ya kipesa, na mauhisiano yenye afya yaliyo na mapenzi matamu na bora, usipende wanaume wa wanawake wenzio mtengeneze handsome wako . . 👷🏻achana na mabrothermen wanaopaka poda, wanaotembea na selfiestick hawana tija, mwanaume bora havai mlegezo (sag trouser).
💸Mwanaume bora hata kama hana pesa daima huwa na hazina ya mawazo na ndoto zenye matumaini ya kuwa na future nzuri baadae . . 💔Achana na wanaume maarufu, wengi wao hawana mapenzi ya dhati japo si wote. Wanapenda kuwatumia wanawake kwa tamaa zao za mwili . . 😔natamani uwe na ndoa bora na uchague mpenzi bora, mpende mpenzi wako kwa moyo wote achana na zile kauli za wanaume wote wanafanana . . 👫Muombe Mungu akupe mume bora na wewe uwe mke bora sababu mke mwenye mapenzi ya dhati huwa anabeba baraka za mafanikio ya mume wake Tafakari mauhusiano yako yapoje
. . 👀Wakati ni sasa sio kesho acha kuwa na idadi kubwa ya wanaume, chagua mwanaume wako mmoja na aliye bora, pia achana na utamadun wa kuchati na ma ex wako . . 🎎Tengenez mume wako bora achana na wanaume wadhaifu na wasio na tija kwako chagua mwanaum bora kwa sifa za ndani na sio kwa ubora wa nje
👵🏼You know what...!? "If a girl ever steals your man, there’s no better revenge than letting her keep him Real men can’t be stolen." - bizz_raymoo360Fact brother, lakini huu ni ushauri kwa wanawake umetusahau wanaume tunapataje mke alie bora na si bora mke??
- ukhuty_faymerMungu akubark kwa ushaur mzuur @ kipusa-kiba
- kipusa__kiba@bizz_raymoo360 cjawasahau nimeanza na wanawake nitamaliza na wanaume
- kipusa__kiba@ukhuty_faymer atubariki sote dia
- ukhuty_faymer@kipusa__kiba amiin
- carenywilliamUna akili sn
- rolcajunior79Imekusomaa😍😍
- mgumusincedayoneUnamaanisha km kiba??we ndo msenge kwel
- kipusa__kiba@mgumusincedayone hivi hamuwezi kuishi bila kutukana heshima hainunuliwi cjuw mtakua lini
- lynalovie@kipusa__kiba ama kwel heshima hainunuliw, ictoshe heshima ni kitu cha thamani kwa kila binadamu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni