Njia ya Asili ya Kuondoa Mafuta Katika Ngozi Ya Uso Wako
ngozi yenye mafuta huwa kerosana kwa wakina dada hasa usoni kwa sababu moja ya adhabu ya ngozi yenye mafuta ni kuwa na chunuzi nyingi sana usoni. watu wengi wanaangaika na t...
Muonekanao wa mastaa mbalimbali katika Tuzo za SZIFF
Wikiendi hii ukiachana na kuwa ilikuwa ni wiki ya pasaka na sikukuu uwa nyingi, lakini pia tanzania ilitikisa hasa katika upande wa filamu baada ya wasanii mbalimbali kutwaa t...
Vanessa Mdee Amwaga Povu Kwa Mashabiki Waliosema Hajapendeza na Staili Yake ya Nywele
Mwanamuziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri hivi sasa na albamu yake ya Money Monday’s Vanessa Mdee amejikuta akiingia kwenye trend ya mastaa iliyoingia hivi sasa ya kublea...
Vazi Jipya la Harusi kwa Wanawake Linalobamba.
Vazi kubwa linalojulikana la harusi kwa kina dada ni shela tu ambayo wengi wamezoea, lakini kumbe lipo vazi lingine zuri na la kawaida kabisa ambalo linaweza kuvaliwa na mwana...
Mastaa wa Kiume na Muonekano Mpya wa Rangi za Nywele Kichwani
Inaweza kuwa ni fashion mpya iliyoingia mjini kwa sasa wasanii wengi wa bongo wameanza ku-trend nayo sasa, ni upakaji wa rangi nywele.Sio mbaya kubadilisha muonekano wako hasa...
Urembo Kipindi cha Ujauzito na Baada ya Kujifungua.
Kipindi cha ujauzito wanawake wengi hujikuta wakiwa katika hali ya kuchakaa kwa sababu ya hali zao.wengine ujikuta wakijiendekeza hata kufikia hatua ya kukatwa nywele au kut...
Vazi la Suti Kwa Wanawake Lilivyowatoa Mastaa Hawa
Imezoeleka kuwa vazi la suti ni kwa ajili ya wanaume tu na sio vazi lililozoeleka sana kuvaliwa na wanawake lakini sio kwa dunia ya sasa ya usawa.Vazi la suti linaweza lik...
Kivazi cha Kitenge Kilivyotawala Party ya WCB( +Picha)
Wikiendi hii ilikuwa ni party ya wasanii kutoka WCB wakimkaribisha rasmi msanii mwenzao aliyekuwa katika kundi la ya moto band kabla band hiyo haijavunjika Maromboso.Mboso a...
Steve Nyerere Akanusha Kuumwa UKIMWI.
Msanii wa maigizo na filamu bongo ambae pia ni mchekeshaji Steve Nyerere amekanusha taarifa zinazosambaa kuwa anaumwa UKIMWI.Steve Nyerere ambae wiki chache zilizopita alita...
Vyakula Vinavyoweza Kutunza Urembo Wako
ASALI.Asali husaidia kutunza unyevunyevu katika ngozi, na pia ina kiwango kikubwa cha sukrai na asidi amabyo uweza kuzuia vijidudu ambavy vianweza kuathiri ngozi y...
Mitindo bora ya nywele kwa watoto.
Wazazi wengi wamekuwa wakiharibu nywele za watoto wao zikiwa bado ndogo kwa sababu ya kuweka dawa katika vichwa vya watoto wao.Wengine wamekuwa wakiwasuka watoto mitindo ina...
Utovu Wa Nidhamu Wamponza Calisah.
Mbunifu wa mitindo mkongwe na aliyefanikiwa sana kimataifa Mustafa Hasanali amefunguka na kuongelea maendeleo ya tasnia ya mitindo nchini na vile inavyoendelea kukua siku hadi...
Mavazi Mazuri Kwa Wanawake Wanene
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiangaika kupata aina ya nguo za kuvaa tena hasa wanawake wanene, kutokana na maumbo yao wanaona ni kazi sana kutafuta nguo, wengine hukosa hata...
Fanya Yafuatayo Na Utaonekana Mrembo Siku Zote
Kila mtu amekuwa na dhana yake tofauti katika kutasfiri dhana ya urembo.kuna wanajua kuwa ili kuwa mrembo basi ni alzima uwe na ngozi nyeupe au nywele ndefu au umbo lako liwe ...
Sababu Kwanini Nywele Zako Hazikui
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakikata tamaa katika ukuaji wa nywele, wengine ukimbilia kuweka dawa kwa haraka lakini kwa kawaida nywele zenye dawa huwa zinakuwa ila itafika se...
Fahamu: Dawa Za Nywele Ni Hatari Kwa Afya Ya Kizazi Kwa Wanawake
Ni wanawake wengi wanaomini kuwa dawa za nywele ndio inayosaidia sana katika urembo wa nywele zao , hii yote ni kwa sababu unapoweka dawa kwenye nywele ulainika sana na ku...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni