Top Talent
Tukio hilo lilitokea siku ya tar 7 mwez wa nne Alipo kuwa akimaliza kuhutubia kwenye uzinduzi wa Kituo cha Polisi
Utalii na Diplomasia mjini Arusha Kitakacho saidia kutoa huduma kwa watalii na maofisa wa kibalozi, Hafla hiyo imekwenda sambamba na
uzinduzi wa Nyumba 31 za polisi. Katika hali ya kuwataja maafisa walio hudhuria tafrija hiyo, Mh alianza kutaja mmoja mmoja na baadae kusema
angekuwa msanii ndio anawataja angemalizia na neno 'wapo' kitendo kilicho fanya kila aliye hudhulia sherehe hiyo kufurahi

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni