Top Talent
#Bongo5updates: Kampuni ya Yono yazipiga mnada nyumba za Lugumi zilizopo Mbweni Dar, kwa Tsh Bilioni 1.9 ambapo zimenunuliwa na Dk Lius Shika. Muda mchache baada ya Dk. Shika kununua nyumba hizo Polisi waliimeingilia kati na kumkamata Dk.Shika kwa madai ya kuharibu mnada huo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni