Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" amehukumiwa kifungo cha Miaka Miwili Jela baada ya kukutwa na hatia
Top Talent Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" amehukumiwa kifungo cha Miaka Miwili Jela baada ya kukutwa na hatia kwenye kesi ya mauwaji bila kukusudia ya Mwigizaji Steven Kanumba
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni