Mwimbaji wa Bongo Flava @BarakaThePrince amemtuhumu mtalaam wa masuala ya mitandao @MxCarter na Meneja wake wa zamani @SevenMosha kumuharibia account yake ya YouTube na kumpunguzia 'views' za wimbo wake mpya "Sometimes".
Mtua Studio/Media News Company
ðīMtuwa Records #MEDIA DEALER ¦ ARTIST SUPPORTER| ðĪðđðĩ| #whatsapp +255 714846090ðģ| ðķOnline 24th7

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni