Jumamosi, 28 Oktoba 2017

Diamond Platnumz HAYA NA WEWE HONGERA KWA ZAWADI ULIYOPATA MWAYA

Top Talent

@diamondplatnumz nakukumbusha maneno yako uliwahi kusema unajitosheleza wewe mwenyewe huwezi kusainia na mtu yoyote maana unaweza kufanya kila kitu Leo tunaona umesainiwa na UNIVERSAL MUSIC sio mbaya kuyakana maneno yako. pia nakumbuka siku uliposikia @officialalikiba amesaini SONY ulijawa mapovu kinoma .cha Jana ndio noma kumbe ile zawadi ya Sony kumpa alikiba ilikuuma sana na wewe ukawaambia UNIVERSAL nitengenezeeni zawadi kama ya King wetu ili watu wasikucheke daaaah. 
Sasa Mimi naendelea kushangaa hivi ni sababu gani inayokukimbiza kwenye account yako ya VEVO YouTube????? /
.HAYA NA WEWE HONGERA KWA ZAWADI ULIYOPATA MWAYA ”

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent