Ijumaa, 9 Juni 2017

Kupitia Clouds FM na mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na mama mzazi wa Diamond kuhusu issue ya Diamond Platnumz kumpa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari,

Top Talent
Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka. 

“Umempa wewe? Napatana naye. Mimi napatana na kila mtu. Ananiona nuski, mbona unataka nionake na mimi mbea? Mimi nakuambia sinaga mambo hayo ya kukaa na watu kumuongelea mtu. Mimi napatana na Zari aliyeniletea watoto.” – Mama Diamond.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent