Top Talent
1. Nilienda kwenye kituo saa nne na nusu usiku
2. Ni baada ya kuona habari ya yule mama haikurusha
3. Niliingia ndani ya kituo na askari wanao nilinda
4. Niliwaambia wafanyakazi kuwa wamepokea pesa ili wasirushe habari
5. Nilitaka warushe habari za mama aliyenyanyasika baada ya mimi kuona huruma.
HOJA ZA KUJIULIZA
1. Kwenda kituo cha matangazo saa nne na nusu usiku tena bila taarifa siyo uvamizi?
2. Yaani ulitoka kwako usiku kuenda kurazimisha habari irushwe kwa maslah yako ya kumchafua mchungaji hii ni sawa? Wanawake wenye matatizo wapo wengi ila ukaamua kumchagua huyo ili uendelee kumchafua mchungaji baada ya suala la tuhuma za madawa kuonekana limeshindwa?
3. Kuingia na asikari wako zaidi ya wawili ndani ya chumba cha kurusha matangazo bila miadi wala ruhusa unaona ni sawa?
4. Wewe mkuu wa Bongo kuwaeleza wafanyakazi eti wamepokea hongo bila hata uthibitisho hauoni kama ni vitiasho?
5. Kwani mamraka na jeuri ya kuwalazimisha warushe habari isiyo na mizania ulipata wapi?
Kiburi na dharau ni watoto wa ujinga.
Acha kiburi, dharau, na majivuno; uombe msamaha na kurekebisha tabia zako maisha yaendelee.
Hii nchi siyo yako na mkuu wako pekee, ni nchi yetu sote.
ACHA KUJISHAUA!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni