Jumatatu, 10 Aprili 2017

(Remix ya wimbo wa Diamond) kujikomba kwa Bashite daily. SHAMELESS SOUL. Anaona sifa kutafuta kiki mpaka kwa Lucifer, eti Simbamson ! Mtoto wa Kiislamu unakaba kiki mpaka kwa shetani, mxiuuuu! Leo Simbamason kesho anajenga msikiti. Labda Nyaumason.

Top Talent
Mimi Sikai KIMYA Remix Acha nikae kimya By Diamond MP3

Huyu msaani ndo SIMBA sio kile kipaka shume, kujikomba kwa Bashite daily. SHAMELESS SOUL. Anaona sifa kutafuta kiki mpaka kwa Lucifer, eti Simbamson ! Mtoto wa Kiislamu unakaba kiki mpaka kwa shetani, mxiuuuu! Leo Simbamason kesho anajenga msikiti. Labda Nyaumason.


Dogo japo umeiba hhii biti na intellectual property ila MESSAGE YAKO TUMEIPOKEA SANA. We live in desperate times so desperate measures are inevitable.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent