Breaking Newwzzzz..... Na repoter wako #Mange kimambi. Bashite na Magufool wanajua alipo kama wanavyojua alipo Ben Saanane. Wanafanya Hivi kuwatia hofu wasaniii waache kumuimba Magufool!!!
.
.
Ona inchi ilivyo na matatizo makubwa Alafu mijitu inaleta u-team! Sisi ni #TeamTanzania first and foremost .. #TeamTanzania ndo team ya maana kuliko team zote....
.
.
.
.
#Repost @professorjaytz with @repostapp
・・・
ROMA MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU HUU... Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONI @moni_centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana..
Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi!!

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni