Steve kanumba @KanumbaThegreat 12 Aug 2011 Ali funguka hv 'Silielewi kabisa hili shirikisho la filamu tz wala body ya filamu hivi mnataka industry ya filamu tz ikue au ife'?????Kupitia page yake ya Tweeter
Bila shaka aliona mbali na ndio hasa kinacho tesa soko la filamu tz.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni