Jumamosi, 10 Desemba 2016

Mashindano Makubwa ya Vipaji Duniani

Top Talent

Mashindano Makubwa ya Vipaji Duniani.

 Kuji sajili tumia hii link.          https://biggesttalent.com/nextseason/







Fursa ya kutangaza kipaji chako ndani na nje ya nchi.


Karibuni wasanii wa mziki mshiriki kwenye mashindano ya bure ya ndani ya nchi na kimataifa ya mziki yatakayoanza January 2017.

Ninatoa huduma ya bure ya kukusaidia kushiriki kwenye mashindano haya ya mziki ya dunia katika nyanja za uimbaji, upigaji ala au uchezaji,

Unachotakiwa ni kuwa mmiliki wa hiyo kazi ya kisanii na isiwe kwenye mkataba na kampuni nyingine.

Unaweza vilevile kuingiza freestyle kwenye mashindano haya na unaweza kujirekodi kwa kutumia simu yako ya mkononi tu ili mradi size ya file isizidi MB 700 na dakika 7.

Vilevile nyimbo za asili zinaruhusiwa kwenye mashindano haya hivyo kama unataka ku promote kabila lako basi unaweza kuwafahamisha wasanii wa nyimbo za kiasili kwenye kabila lako ili watupie nyimbo zao kwenye mashindano haya.

Mashindano yataanza January 2017 na kuingiza Sanaa yako ya mziki ili ishiriki kwenye mashindano ya msimu huu mwisho ni 31st December 2016.

Mashindano yataanza kwenye ngazi ya taifa ambapo wasanii wa taifa moja watashindanishwa na wasanii wa taifa lao na wapiga kura watakuwa raia wa taifa hilo tu ili kumpata mshindi mmoja atakayewakilisha nchi yake kwenye mashindano ya kimataifa ambapo kila mtu anaweza kupiga kura kutafuta washindi wanane watakaopelekwa Las Vegas, Marekani kwenye fainali za kutafuta mshindi wa kwanza, wa pili na wa tatu ambayo yatafanyika LIVE na kuonyeshwa duniani kote kwa mtindo wa kulipia kwa ajili ya kuona (Pay per View).

Faida gani utakazozipata kwa kushiriki kwenye mashindano haya?

Kwanza ni kuonyesha kipaji chako ndani ya nchi yako na duniani kote na hivyo kuongeza washabiki wako na fursa za kisanii kutoka kwa wadau wa Sanaa duniani kote bila mipaka.

Pili mziki wako ukipata umaarufu wa kutosha basi utaweza kupigwa kwenye redio ya internet inayomilikiwa na kampuni dada inayojulikana kama Most Famous Radio ambapo utalipwa gawio (royalty) kila mziki wako utakapokuwa unapigwa kwenye redio hiyo na hivyo kukupatia kipato cha ziada pamoja na kukujengea washabiki kutoka pembe zote za dunia kwani redio husika inasikilizwa na wanachama wa Unicorn Network waliotapakaa duniani kote.
Tatu ni kuweza kuuza mziki wako online mara baada ya mfumo wa kuuza mziki ndani ya tovuti kwa njia ya download utakapokamilika na hivyo kuongeza kipato chako cha kisanii

Ziko faida nyingine nyingi lakini tuishie hapo kwa ajili ya tangazo hili.

Kujiunga tumia laptop au desktop. Unaweza kufanya hivyo kwenye internet café kama huna laptop au desktop. Utabonyeza kiungo cha FREE REGISTRATION ili kujisajili na kampuni kama wewe bado hujawa mwanachama wa mtandao wa Unicorn Network. Ukishajisajili, utafungua tena tovuti hii hapo chini kisha utaenda juu kulia utaona alama ya mshale. Ibonyeze hiyo ili uweze ku login kwa kutumia email address uliyotumia kujiungia pamoja na password. Uki login utaona kiungo cha kupakia mziki wako.

Nakushauri usipakie (upload) kutoka kwenye computer yako bali u import mziki wako uliopo Youtube ili uweze kuongeza VIEWS na LIKES za video yako ya Youtube kwani wanachama watakaoshiriki kwenye kupiga kura kwenye mashindano haya wata LIKE na kuongeza VIEWS kwenye video yako iliyopo Youtube.

Ukihitaji msaada kwenye zoezi la kuingiza Sanaa yako tuwasiliane. Tunaweza kuwasiliana hapa through 0714846090---0765125108

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent