Msanii wakizazi kipya... anae fahamika kwajina la Mwaney Kuachia kazi yake mpya akiwa amefanya ft na Ezzy Skills ndani ya EMP Studios...... kwasasa yuko na maandalizi ya kufanya video.... kwahabari zaidi endelea kutembelea page zetu.... waweza kupata hapa wimbo wake unao kwenda kwajina la Yataisha Lini..
Mwaney Ft Ezzy Skills_Yataisha lini. Download MP3











Hakuna maoni:
Chapisha Maoni