Ngoma mpya toka Chimbo Records_Artist 9 CENT Ft EZZY SKILLS-RAFIKI MNAFIKI... Msanii wa kizazi kipya anae fanya vizuri kwa sasa... kwajina unaweza kumuita 9 CENT ameachi ngoma {RAFIKI MNAFIKI} Iliyo fanywa ndani ya Chimbo Records pande za Kibaha.... ni msanii anae iwakilisha Mwanza City kwa hapa Dar anapatikana pande za Ukonga... Download na usikilize jinsi wana HIP HOP walivyo funguka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni