Jumatano, 28 Mei 2014

Staa wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.

Top Talent

Staa wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.

STAA wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ leo anatarajiwa kufanyiwa shughuli ya kumbukumbu ya kifo chake. Habari kutoka ndani ya familia ya Ngwea zinasema kuwa, shughuli hiyo itafanyika leo Mei 28, nyumbani kwao Morogoro ikiwa ni mwaka mmoja timilifu tangu afariki dunia.

Ngwea alifariki dunia Mei 28, mwaka jana katika Hospitali ya St. Hellen jijini Johannesburg, Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent