Hello Fans.....
MtuaRecords,
Imepitia kazi za wasanii waliochukua muda wao kupiga simu kwetu na kutuma kazi zao.
Tumeamua kusema tungependa kufanya na hawa wasanii watatu na huku tukiwasihi wasanii wengine waendelee kupiga simu na kutuma kazi zao ili kujaza nafasi mbili zilizobaki.
Wafuatao watapigiwa simu kwa maelezo zaidi.
1. Smaina
2. EzzySkillz
3. Kazi moja toka kwa Bibi Gee.
Asanteni.
Blessed.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni