Jumatano, 25 Desemba 2013

WEMA SEPETU NA DIAMOND PAMOJA

Top Talent


Katika kusheherekea siku kuu ya Christmas jana, mastaa wawili Wema na Diamond wanaonekana kwenye picha ya pamoja, picha hii ambayo imesambaa kwenye mitandao mingi ya kijamii na kusababisha kila mtu atoe la moyoni kuhusu muungano wa wawili hao. Baadhi ya watu wamesema kuwa bado wanapendana hivyo ni heri warudiane na wengine wakiwasifia kuwa wamependezeana sana.

Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent