Jumatano, 4 Desemba 2013

Mossi Suleyman kuamua kufanya muziki wa kizazi kipya almaharufu kama bongo flava...

I'm listening to Mazoea-mossi suleyman & uncle some.mp3 @Hulkshare:  Hatimae mwana muziki mahiri wa taarabu Mossi Suleyman kuamua kufanya muziki wa kizazi kipya almaharufu kama
bongo flava... amwambia Uncle some tufanye kazi some nae bila ubishi akafanya mambo yake kazi hiiapa download na
uskilize ni bobge la collabo




Hakuna maoni:

Layout

Mtua Studio- Photo Shoot

Top Talent