Top Talent: Mkali wa Rhymes Afande Sele atoka Moro Mji kasoro bahali akiwa na
Mkurugenzi wa Top Talent {Mtua Records} siku yajana kwaajili ya maandaliza na kuweka sawa
Gem ya bongo flaver na kuirudishia hesma yake..... kama ulikuwa haujui siku ya tar 1 jan 2014 Mfalme Wa Rhymes Afande Sele atakuwa akizindua albam yake mpya inayo kwenda kwa jina la Kingdom Amani na Upendo
Kwahabari zaidi endelea kutembelea blogspot yetu....... Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Mtua Records.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni